Mjini Derna, kundi la IS limeshika
hatamu
Tukio hilo
lilianzia kwa wanaharakati hao kutekwa mapema mwezi huu.Mji huo wa Derna uko
chini ya mamlaka ya kikundi cha dola ya kiislam tangu mwaka 2012 ambacho
kimekiri kuwa sehemu ya kundi la is.
Mnamo mwezi August
mwaka huu katika video ilooneshwa katika mitandao ya kijamii ilionesha
mwanamume mmoja akipigwa risasi na kufa hadharani katika viwanja vya mpira
mjini Derna.
Siku za hivi
karibuni kuna picha iloachiliwa mitandaoni ikionesha kikundi cha kijamii
kinachojiita mahakama ya kiislam.
No comments:
Post a Comment