Wednesday, November 26, 2014

Wakazi wa Dar es Salaam wakiangalia kwa makini gari aina ya Opah iliyogongwa na daladala na kujibamiza katika msitimu wa umeme, eneo la Tandika Devisi Kona leo majira ya saa moja asubuhi.

Wakazi wa Dar es Salaam wakishangaa gari aina ya Opah lililopata ajali baada ya kugongwa na basi la abiria (daladala) na kisha kwenda kujibamiza kwenye msitimu wa umeme, leo asubuhi katika eneo la Tandika Devisi Kona.

No comments: