Wednesday, October 29, 2014

Wanawake 300 kupatiwa mafunzo

 Tanga
Wanawake 300 wajasiriamali wa mkoa wa Tanga wafundishwa namna bora ya kupata faida kutokana biashara. Elimu itakayo tolewa na asasi ya Angels Movement chini ya kampeni ya Mwanamke na uchumi.

Mkurugenzi wa kampeni ya Mwanamke na uchumi, Mahada Erick alitoa taarifa hiyo jana kwa mkuu wa wiliya ya Tanga, Halima Dendego.


Alisema mafunzo hayo yatatoa fursa kwa wanawake kujifunza masuala ya ujasiriamali, utunzaji wa hesabu za biashara, uwekaji wa akiba na umuhimu wa rasilimali ardhi.

No comments: