Wageni mbalimbali katika futari iliyotayarishwa kwa ajili ya
maafisa wa kampuni mbalimbali hapa jana jijini Dar es Salaam. Futari hiyo ilitayarishwa na Taasisi ya
Wakurugenzi ya Tanzania (IoDT) na Mtandao wa Taasisi za Wakurugenzi Afrika
(ACGN) ambao wanaendesha mkutano wao hapa nchini.
Afisa Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Wakurugenzi ya Tanzania
(IoDT), Bw. Said kambi (kushoto) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Innovex, Bw. Leonard
Chacha Kitoka (katikati) pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Taasisi za
Wakurugenzi Afrika (ACGN), Bi. Jane Valls wakati wa futari iliyotayarishwa kwa
ajili ya maafisa wa kampuni mbalimbali hapa jana jijini Dar es Salaam. Futari hiyo ilitayarishwa na IoDT na ACGN ambao
wanaendesha mkutano wao hapa nchini.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wakurugenzi ya Tanzania (IoDT), Bw. Pius
Maneno (kushoto) akiwa pamoja na Afisa Mkuu Mtendaji wa IoDT, Bw. Said kambi (katikati)
na Mkurugenzi wa Innovex, Bw. Leonard Chacha Kitoka (kulia) wakati wa futari
iliyotayarishwa kwa ajili ya maafisa wa kampuni mbalimbali hapa jana jijini Dar
es Salaam. Futari hiyo ilitayarishwa na IoDT
na ACGN ambao wanaendesha mkutano wao hapa nchini.
Wageni mbalimbali katika futari iliyotayarishwa kwa ajili ya
maafisa wa kampuni mbalimbali hapa jana jijini Dar es Salaam. Futari hiyo ilitayarishwa na Taasisi ya
Wakurugenzi ya Tanzania (IoDT) na Mtandao wa Taasisi za Wakurugenzi Afrika
(ACGN) ambao wanaendesha mkutano wao hapa nchini.
No comments:
Post a Comment