Waziri wa Mawasliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa katikati akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa matumizi ya Mkongo wa Mawasiliano katika kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini, kushoto ni Waziri wa Sayansi na Mawasiliano wa Sudan, Dkt. Eisa Bashari Mohmed Hamid wa Sudan na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA, Profesa John Nkoma, mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe kutoka nchi nane.
Waziri wa Mawasliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa (wapili kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa matumizi ya Mkongo wa Mawasiliano katika kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini,wapili kushoto ni Waziri wa Sayansi na Mawasiliano wa Sudan, Dkt. Eisa Bashari Mohmed Hamid wa Sudan, Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano nchini (TTCL), Dkt. Kamugisha Kazaura na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA, Profesa John Nkoma, mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe kutoka nchi nane.
No comments:
Post a Comment