Wednesday, August 22, 2012




The Acting Executive Director of Tanzania Investment Centre (TIC), Mr. Raymond Mbilinyi (left) talks to the Chief Executive Officer of UPL Group from Brazil, Mr. Carlos Pellicer during the visit of some seven major Brazilian companies dealing with agriculture.  The delegation visited TIC over the weekend to know more about Tanzania with a view of looking for opportunities to invest in the country’s agriculture sector.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Raymond Mbilinyi (kushoto) akiongea na Afisa Mkuu Mtendaji wa UPL Group toka Brazil, Bw. Carlos Pellicer wakati wa ziara ya makampuni saba makubwa toka nchini humo mwishoni mwa wiki.  Makampuni hayo yalitembelea TIC kama mojawapo ya wao kujua zaidi fursa za kuwekeza katika sekta ya kilimo nchi Tanzania. 

No comments: