Tuesday, August 14, 2012




Bank of Africa Tanzania Managing Director, Mr. Ammish Owusu-Amoah (right) handing over a dummy cheque to Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) Chief Executive Officer, Mr. Rished Bade during the announcement of the bank to invest Tshs 1 billion in the company as a way to strengthen its Home Finance services to Tanzanians.  Others in the picture are Mr. Oscar Mgaya, TMRC Chief Operating Officer; Mr. Wasia Mushi, Head of Commercial Banking (all next to Mr. Bade).  Next to Mr. Owusu are Ms. Patricia Nguma, the bank’s Relationship Manager Mortgages and Ms. Beryl Oluga, the bank’s Marketing Manager.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania, Bw.Ammish Owusu-Amoah (kulia) akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC), Bw. Rished Bade wakati wa kutangaza benki kuwekeza shilingi bilioni moja kwa kampuni hiyo katikajuhudi za kuimarisha huduma zake za mikopo ya nyumba.  Wengine katika picha ni Bw. Oscar Mgaya, ofisa Mkuu Mwendeshaji wa TMRCna Bw. Wasia Mushi, Mkuu wa Huduma za Kibenki (wote baada ya Bw. Bade.  Wanaofuata baada ya Bw. Owusu ni Bi. Patricia Nguma, Ofisa Mikopo wa wa benki na Bi. Beryl Oluga, Ofisa Masoko wa benki hiyo.

No comments: