Tuesday, August 14, 2012




Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) Director General, Mr. Aloyce Masanja (right), exchanging the a Memorandum of Understanding (MoU) document toward the implementation of Stiegler’s Gorge Power Project with the Odebrecht International Business Director, Mr. Fernando Soares yesterday in Dar es Salaam.  Others are the company’s Legal Counsel, Mr.Tiago Matos (extreme left), RUBADA’s Board Chairman, Prof. Raphael Mwalyosi (centre with spectators) and RUBADA’s Director of Planning, Ms. Tatu Ndataro (extreme right).

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Bw. Aloyce Masanja (kulia) akibadilishana nyaraka za makubaliano ya awali ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler’s pamoja na Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya Odebrecht ya Brazil, Bw. Fernando Soares jana jijini Dar es Salaam.  Wengine katika picha ni mwanasheria wa kampuni hiyo, Bw. Tiago Matos (kushoto); Mwenyekiti wa Bodi ya RUBADA, Prof. Raphael Mwalyosi (mwenye miwani katikati) na Mkurugenzi wa Mipango wa RUBADA, Bi. Tatu Ndataro (kulia)