Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Raymond Mbilinyi
(katikati) akionyeshwa mchoro wa ramani
na mtaalamu wa udongo, Bw. John Olalokun
(kushoto) wa kiwanda cha Simenti cha
Dangote kinachotarajiwa kujengwa
mkoani Mtwara. Bw. Mbilinyi
alifanya ziara hiyo kuangalia maendeleo ya mradi huo mwishoni mwa wiki. Kulia ni meneja mkuu wa kiwanda hicho Bw.
Dilip Musale.
The
Tanzania Investment Centre (TIC) Acting Executive Director, Mr. Raymond Mbilinyi
(centre) being shown a map of a new cement factory expected in Mtwara region by
a soil expert, Mr. John Olalokun (left).
The investment is done by a renowned Nigerian tycoon, Mr. Aliko
Dangote. On the right is the Factory
Managing Director, Mr. Dilip Musale.
No comments:
Post a Comment