Monday, August 13, 2012



Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kusaidia uwekezaji katika kilimo nchini PASS Bw. Iddy Lujina (kulia) akipewa zawadi ya ushindi wa pili kwa asasi zisizo za kiserikali na mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Tanzania Dk Mohamed Gharib Bilal wakati wa kuhitimisha sikukuu ya wakulima Nanenane katika viwanja vya Nzuguni nje kidogo ya manispaa ya Dodoma mwishoni mwa wiki.

The Managing Director of Private Agricultural Sector Support (PASS), Mr. Iddy Lujina (right) receiving a trophy from the Vice President, Dr. Mohamed Gharib Bilal who was the guest of honor during the closure of this year’s agriculture festivals famously called Nanenane at Nzuguni grounds in Dodoma over the weekend.  PASS clinched number 2 in the NGO category.


No comments: