Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Raymond Mbilinyi
(kulia) akimsikiliza kwa makini mtaalamu wa udongo, Bw. John Olalokun wa kiwanda cha Simenti cha Dangote kinachotarajiwa kujengwa mkoani Mtwara katika ziara aliyoifanya kutembelea eneo hilo na
kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa kiwanda hicho mwishoni mwa wiki. Ujenzi huo unafanywa na mwekezaji na tajiri
maarufu raia wa Nigeria, Bw. Aliko Dangote.
The
Tanzania Investment Centre (TIC) Acting Executive Director, Mr. Raymond
Mbilinyi (right) listening attentively from a soil expert, Mr. John Olalokun
during a visit over the weekend to the site where a huge cement factory will be
built in Mtwara region. The investment
is done by a renowned Nigerian tycoon, Mr. Aliko Dangote.
No comments:
Post a Comment