Mkurugenzi
Mtendaji wa Asasi ya kusaidia uwekezaji katika kilimo nchini, Bw. Iddy Lujina
(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Benedict Ole Nangoro
muda mfupi mara baada ya Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal kufunga maonesho
ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.
The
Managing Director of Private Agricultural Sector Support (PASS), Mr. Iddy
Lujina (left) talks with the Deputy Minister, Livestock and Fishing, Mr.
Benedict Ole Nangoro shortly after the closure of this year’s agriculture
festival famously called Nanenane at Nzuguni grounds in Dodoma over the weekend
where the Vice President, Dr. Mohamed Gharib Bilal was the guest of honor.
No comments:
Post a Comment