Mkurugenzi
Mtendaji wa Asasi ya kusaidia uwekezaji katika kilimo nchini Bw. Iddy Lujina
(kulia) akimpa pongezi Bw.
Papian Emmanuel ambae ni mmoja wa wakulima wanaosaidiwa na pass katika shughuli
za kilimo, Papian aliikua mmoja wa washindi katika maonesho ya mwaka huu ya
wakulima nanenane yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
The Managing
Director of Private Agricultural Sector Support (PASS), Mr. Iddy Lujina (right)
congratulating one of the beneficiaries of PASS, Mr. Papian Emmanuel. Mr. Emmanuel was one of the winners in
this year’s agriculture festival famously called Nanenane at Nzuguni grounds in
Dodoma that was closed over the weekend by the Vice President; Dr. Mohamed
Gharib Bilal.
No comments:
Post a Comment