E-Banking Senior Manager with Bank of Africa Tanzania, Mr Cyprian Massawe (centre) clarifies a point to journalists (not in a picture) on internet banking mobile function (B-web Smart) shortly after launch of the service in Dar es Salaam yesterday. Looking on left is the Bank’s Senior Manager, Mr Solomon Haule and right is the Head of Marketing, Ms. Beryl Oluga.
Meneja Mwandamizi wa maswala ya kiekroniki wa Bank of Africa Tanzania, Bwana Cyprian Massawe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa mpango wa huduma kwa mitandao (B-Web Smart), jijini Dar es Salaam jana. Wengine, Kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Masoko wa benki hiyo, Bwana Solomon Haule na kulia ni Bi. Beryl Oluga ambaye ni Mkuu wa Masoko wa benki
E-Banking Senior Manager with Bank of Africa Tanzania, Mr Cyprian Massawe (right) shows journalists (not in a picture) on how internet banking mobile function (B-web Smart) operates shortly after launch of the service in Dar es Salaam yesterday. looking on centre is the Bank’s Senior Manager, Mr Solomon Haule and left is the Head of Marketing, Ms. Beryl Oluga.
Meneja Mwandamizi wa maswala ya kiekroniki wa Bank of Africa Tanzania, Bwana Cyprian Massawe akiwaonyesha waandishi wa habari namna mpango wa huduma kwa mitandao (B-Web Smart) unavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wake , jijini Dar es Salaam jana. Wengine, Katikati ni Meneja Mwandamizi wa Masoko wa benki hiyo, Bwana Solomon Haule na kushoto ni Bi. Beryl Oluga ambaye ni Mkuu wa Masoko wa benki
No comments:
Post a Comment