Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Profesa
Andrew Mbwambo (kulia) akiongea wakati wa mafunzo kuhusu maadili yaliyotolewa
na chuo chake kwa maafisa wa jeshi la polisi jijini Dar es Salaam jana. Anaefuatia katika picha ni Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema, Prof. Ronald
Berenbeim toka Chuo Kikuu cha New York, Marekani na Prof. Shiv Tripath, Mkuu wa
Kozi fupi na Ushauri toka Chuo Kikuu Mzumbe, kampasi ya Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment