Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo
cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw.Raymond Mbilinyi (kulia) akimsikiliza
Mwenyekiti Mteandaji wa kampuni ya
Agro EcoEnergy Tanzania Limited Bw. Per Carstedt (kushoto) wakati alipofanya ziara ya siku moja katika shamba
kubwa la kisasa la zao la miwa linalomilikiwa na kampuni hiyo wilayani Bagamoyo
jana. Kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw.Anders Berfors.
The
Tanzania Investment Centre (TIC) Acting Executive Director, Mr. Raymond Mbilinyi
(right) listening to the Executive Chairman of Agro EcoEnergy Tanzania Limited,
Mr. Per Carstedt (left) when the former visited the sugar cane plantation owned
by the company in Bagamoyo district yesterday. At the centre is the company’s Managing Director, Mr. Anders
Berfors.
No comments:
Post a Comment