Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo
cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw.Raymond Mbilinyi (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Agro EcoEnergy Tanzania Limited, Bw.Anders Berfors wakati
alipofanya ziara ya siku moja katika shamba kubwa la kisasa la zao la miwa
linalomilikiwa na kampuni hiyo wilayani Bagamoyo jana.
The
Tanzania Investment Centre (TIC) Acting Executive Director, Mr. Raymond
Mbilinyi (left) listening to the Managing Director, Mr. Anders Berfors of Agro
EcoEnergy Tanzania Limited when the former visited the sugar cane plantation owned
by the company in Bagamoyo district yesterday.
No comments:
Post a Comment