Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo
cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw.Raymond Mbilinyi (kulia) akionyeshwa maendeleo
ya shamba la miwa linalomilikiwa na kampuni ya Agro EcoEnergy Tanzania Limited
na meneja wa shamba hilo, Bw. Andre’ Fayol ‘Iterbe wakati alipofanya ziara ya
siku moja katika shamba hilo wilayani Bagamoyo jana.
The
Tanzania Investment Centre (TIC) Acting Executive Director, Mr. Raymond
Mbilinyi (right) listening to the Farm Manager of the sugar cane plantation,
Mr. Andre’ Fayol ‘Iterbe owned by Agro EcoEnergy Tanzania Limited when the
former visited the plantation owned by the company in Bagamoyo district
yesterday.
No comments:
Post a Comment