Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya ranchi ya Taifa (NARCO), Dkt. John Mbogoma (katikati) akizungumza
jambo na baadhi ya wawekezaji wakati wa ziara ya wawekezaji katika ranchi Ruvu
iliyopo Mkoani Pwani ambayo pia ipo katika eneo la mpango maalum wa
uendelezaji kilimo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania (SAGCOT) hivi karibuni.
The General Manager of
National Ranching Company (NARCO) Limited, Dr. John Mbogoma (centre) talks to
some of prospective investors who visited the ranch located at Ruvu area in
Coast Region to learn about its potentials. The ranch is found at the
area under the Southern Agriculture Corridor of Tanzania (SAGCOT).
No comments:
Post a Comment