Monday, December 31, 2012

Embrace Smart Partnership Dialogue, Sefue tells leaders


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kulia) akijadiliana jambo kuhusiana na mkutano mkubwa wa kimataifa wa ushirikiano kwa manufaa ya wote, Smart Partnership Dialogue ‘Global 2013’, unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi Mei mwaka 2013 alipokua akiongea na wanahabari jijini la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, (katikati) ni Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Bw. Samson Chemponda na kushoto ni Meneja Mradi wa Smart Partnership Dialogue ‘Global 2013,’ Rosemary Jairo.


Chief Secretary, Amb. Ombeni Sefue (right), discussing with the Acting Executive Secretary of the Tanzania National Business Council (TNBC), Samson Chemponda (centre) during a meeting with journalists in Dar es Salaam over the weekend.  The Ambassador talked on the preparations of the International Smart Partnership Dialogue scheduled in May 2013 in here in Tanzania. On the left is the Project Manager, Smart Partnership Dialogue ‘Global 2013,’ Rosemary Jairo.



By a Correspondent, Dar es Salaam
Leaders in Tanzania have been urged understand at heart and fully embrace the concept of Smart Partnership Dialogue for the rapid attainment of social economic development in the country.
The call has been made by the Chief Secretary, Amb. Ombeni Sefue over the weekend in Dar es Salaam when talking to journalists on the preparations of the International Smart Partnership Dialogue scheduled in May 2013 in Dar es Salaam.

He said that leaders at different levels should take advantage of these dialogues and listen to what their people say and recommend on the path to take on development.
“This is another opportunity for leaders to meet and listen what their people have to says and openly discuss with them and reach consensus,” he said.
The Ambassador noted that the main objective of Smart Partnership Dialogue is to enhance Government’s engagement with all sectors of the society in enhancing information, knowledge and expertise in finding solutions to sustainable development challenges.
The theme for the Global 2013 Smart Partnership Dialogue  is “Leveraging Technology for Africa’s Socio-Economic Transformation :The Smart Partnership Way”.
The Smart Partnership International Dialogues are held alternately between Malaysia and countries in Southern Africa and are  jointly organised by the Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) and the Malaysian Industry-Government Group for High Technology (MIGHT).
Tanzania National Business Council (TNBC) has been designated as the hub for Smart Partnership Dialogue and has been tasked to undertake the National Smart Partnership Dialogue, commencing from the District, Regional up to National level in January 2013; as a stepping stone to the International Smart Partnership Dialogue.
Ambassador Sefue who also doubles as the Chairman for the TNBC Executive Committee said that every Tanzanian should strive to know the concept of Smart Partnership Dialogue through various media because it is a another wonderful opportune for them to participate in nation building process.
“There is no single person with monopoly of how things should go…we are all involved in one way or another,” he said, adding that everybody has the right to contribute ideas on the country’s development.
He said that leaders should take these dialogues seriously because the many contributions they will get from people the better in fine tuning decisions they will make that will eventually be inclusive in nature, benefiting a wide range of groups in their societies.
He said that nation building process need diverse groups of people and that is what the dialogue seeks to achieve.
He noted that this is another chance for the country to take into account contributions of citizens in making the nation’s Five Year Development Plan and the National Vision 2025 a reality.
The dialogue is a brainchild of the Commonwealth Partnership for Technology Management.
It creates a platform for key decision makers in both public and private sectors from various countries to come together and come up with solutions to social and economic problems bedevilling their nations.
President Jakaya Kikwete officially launched the national preparations for the coming Smart Partnership Dialogue in May this year, insisting that Tanzania seeks to leverage on technology as a requirement for development.
Ends.

Bank of Afrika Group kujitanua Afrika Mashariki



Bank of Africa Tanzania Managing Director, Mr. Ammish Owusu-Amoah (standing) addresses Bank of Africa Group Board of Directors meeting that ended in Arusha over the weekend.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania, Bw. Ammish Owusu-Amoah alipokua akihutubia mkutano uliohusisha wakurugenzi wa mtandao wa benki hiyo barani Afrika uliomalizika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.



The President, Bank of Africa Group, Mr. Mohamed Bennani addresses Bank of Africa Group Board of Directors meeting that ended in Arusha over the weekend.
Rais wa Bank of Africa Group, Bw. Mohamed Bennani akihutubia mkutano uliohusisha wakurugenzi wa mtandao wa benki hiyo barani Afrika uliomalizika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.


Na Mwandishi wetu, Arusha
Mtandao wa mabenki barani Afrika unaojulikana kama Bank of Afrika Group unatarajia kujitanua zaidi katika eneo la Afrika ya Mashariki kuanzia mwakani.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa tawi la benki hiyo hapa nchini, Bank of Africa Tanzania, Bw. Ammish Owusu-Amoah alipokua akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano uliohusisha wakurugenzi wa mtandao wa benki hizo barani Afrika uliomalizika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
“Kwa sasa benki hii inaangalia jinsi ya kujitanua katika ukanda huu ili kuwa pia na matawi katika nchi zilizobaki katika Afrika ya Mashariki,” alisema.
Kwa sasa, katika ukanda huu, benki hiyo kubwa iko katika nchi za Tanzania, Uganda, Kenya na Burundi.
Alipoulizwa ni lini mpango huo utakamilika, alisema: “Kwa vyovyote vile kabla ya mwisho wa mwaka ujao tutakua tumeshaanza kufanya kazi katika nchi zilizobaki.”
Bw. Ammish alisema uamuzi wa kuchagua kufanyia mkutano huo mkubwa Tanzania katika jiji la Arusha ulifikiwa ili kuimarisha uhusiano uliopo kati ya kundi hilo la mabenki na jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
“Tulichagua Arusha kuonyesha umuhimu wa eneo hili la Afrika katika ukuaji wa benki yetu,” alisema.
Alielezea kwamba benki hiyo itaendelea kuangalia fursa zilizopo katika ukanda huu pamoja na kusaidia biashara ndogo na za kati kwa masharti nafuu pamoja na kujihusisha zaidi na kutoa michango mbalimbali kwa jamii.
Alisema ni mategemeo ya benki hiyo kujiimarisha zaidi katika Tanzania na kwamba mikakati iliyotokana na mkutano huo itasaidia kufikiwa kwa lengo.
Bw. Ammish alitoa pongezi kwa serikali ya Tanzania kwa ukarimu ulioonyeshwa kwa wajumbe wa mkutano huo na huduma nzuri walizopatiwa.
“Kama nchi, tukiendelea hivi, tutasaidia sana kuvutia mikutano mikubwa na biashara hapa Tanzania…tuendelee na moyo huo,” alisema.
Hii ilikua ni mara ya pili kwa mkutano kama huu kufanyika hapa nchini ambapo kundi hilo pia linafanya kazi kupitia benki yake—Benki ya Afrika Tanzania.
Mkutano wa kwanza uliohusisha wakurugenzi wa benki hiyo kutoka nchi zinazozungumza kiingereza ulifanyika mkoani Dar es Salaam mwezi Machi mwaka huu.
Benki hii inafanya kazi katika nchi 15 zikiwemo Benin, Burkina Faso, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Djibouti, Ghana, Ufaransa, Ivory Coast, Kenya, Madagascar, Mali, Niger, Senegal, Tanzania na Uganda ambapo huzunguka katika kila nchi kwa ajili ya mikutano kama hii.
Mwanahisa mkubwa wa kundi hili ni BMCE Bank ambayo ni benki ya pili binafsi kubwa nchini Morocco.
Tangu ianze shughuli zake hapa nchini mwaka 2007, benki hii imekua ikijitahidi kujitanua kwa kuanzisha huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufungua matawi mapya. 
Hadi sasa ina matawi kumi jijini Dar es Salaam pamoja na mengine saba katika mikoa ya Morogoro, Tunduma, Mwanza, Moshi, Mbeya,Mtibwa na Arusha.
Mwisho 



Friday, December 14, 2012



Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue(kushoto)akimkabidhi Mwenyekiti mstaafu wa kamati hiyo, Bw. Phillemon Luhanjo, zawadi maalum iliyotolewa na kamati kama sehemu ya kutambua mchango wake katika hafla  ya kumwaga kama mwenyekiti iliyofanyika jijini Dar es salaam juzi usiku. Anayeangalia ni katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Peniel Lyimo.

THE Chairman of Executive Committee of Tanzania National Business Council (TNBC) who is also the Chief Secretary, Ambassador Ombeni Sefue (left) presents a special gift from the committee to his predecessor , Mr Phillemon Luhanjo in function hosted by the council to bid a farewell to the former chairman held in Dar es Salaam on Tusday night. Looking on is the Permanent Secretary in Prime Minister’s Office, Mr Peniel Lyimo.

Changamoto yatolewa kuongeza mazao thamani kufikia maendeleo endelevu


Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam

Imeelezwa kwamba kuna umuhimu wa Tanzania na nchi nyingine za Afrika kufanya jitihada za kuongeza thamani mazao ya kilimo kama zinataka kufikia maendeleo endelevu ya kudumu.

Haya yamesemwa na muwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) hapa nchini wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachohusu kilimo kwa ajili ya biashara kwa maendeleo ya Afrika jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki hii.

Kuna umuhimu wa kuangalia jinsi nchi za Afrika zinavyoweza kuongeza thamani,” alisema na kuongeza kwamba nchi hizo zinatakiwa kuwa na uwezo wa kuongeza nusu ya thamani inayoongezwa na nchi zilizoendelea kama kweli zinataka kuondokana na umaskini.

Kwa mujibu wa kitabu hicho, nchi zilizoendelea huongeza thamani ya hadi dola 180 kwa tani moja ya mazao wakati nchi zinazoendelea hutumia dola za Marekani 40 tu kuongeza thamani ya tani moja ya mazao.

Pia, wakati asilimia 98 ya mazao ya kilimo huongezwa thamani katika nchi zilizoendelea, ni asilimia 30 tu ya mazao ya kilimo huongezwa thamani katika nchi zinazoendelea.

“Takwimu hizi zinawezakuwa za kukatisha tama zaidi kama tukiangalia nchi moja moja katika bara la Afrika,” alisema Kalenzi.

Kitabu hicho kilichoandikwa kwa msaada wa UNIDO na kupata mchango wa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo kinaangalia jinsi ya kukifanya kilimo kuwa cha kibiashara zaidi na kuwa chachu ya kufikia maendeleo endelevu Afrika.

Bw. Kalenzi aliisifu Tanzania kwa juhudi inazochukua kuhakikisha kilimo kinakua na kuwa moja ya mkakati wa kufikia lengo la nchi kuwa taifa lenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Hata hivyo alisema ingawa kilimo bado ni mchangiaji mkubwa wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Tanzania na bara zima la Afrika, bado hakitafanikiwa kuleta mapinduzi makubwa ya maendeleo kama hapatafanyika mageuzi makubwa katika sekta hiyo.

“Pamoja na kwamba kilimo kinachangia kwa kiwango kikubwa mapato katika bara la Afrika, bado kinatumia zana dhaifu,” alisema, na kuongeza kwamba bado wakulima wengi wanatumia zana zilezile zilizotumiwa na mababu miaka mingi iliyopita.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda alikubaliana kwamba bila viwanda na kuongeza thamani ya mazao, Afrika haitafikia maendeleo yanayotazamiwa.

Alisema bara la Afrika sasa halina budi kuachana na kilimo cha jembe la mkono na kuangalia jinsi ya kufanya kilimo cha kibiashara na kuvutia uwekezaji katika sekta hiyo.

“Ni lazima Tanzania tuweze kutofautisha kilimo cha kizamani cha kutumia jembe la mkono na kile cha kibiashara na kuongeza thamani,” alisema.

Mwisho 

Bank of Africa Tanzania names deposit campaign winners


By a Correspondent, Dar es Salaam
Ten customers have emerged winners of Bank of Africa Tanzania’s ‘Grow your Deposit and Win’ draw competition and walk away with various gifts.
The winners were obtained from 412 clients who participated in the competition.
The Head of Retail Banking, Ms. Mwanahiba Mzee played the draw yesterday in Dar es Salaam.
“There were many who qualified into this draw, but we have got ten of them for today,” she said, adding that winners came from two categories of customers—retail and entrepreneurs companies.
She named winners as Jamshaid Ahmad who won I-Phone 4 s, Claud Mbilinyi won Blackberry, Shem Barankena won a Tshs 300,000 voucher for buying car fuel, Jeremie Penzin won a super market voucher, Nurali A.L and Munira S.H won a Spa voucher and Fredy Mwanga who won a dinner voucher at Alcove.
Others who emerged winners are Mton Luth, Church Saccos, Peter Lutego, Leonard Mkonyi and Valerii Makukha who won a gift Hamper each of them.
She said that it was necessary for retail customers to have a balance of not less than Tshs 1 million and should have deposited Tshs 3 Million within a month.
Small and Medium Enterprises companies were required to have a balance of not less than Tshs 50 million in the account and should have deposited Tshs 100 million within a month.
“All have met these requirements, I congratulate them,” she said.
She said that they will be contacted wherever they are and presented with their gifts.
She urged the bank’s customers to continue participating in these initiatives that seek to reward them for their savings.
She said that the bank will soon be launching new and exciting retail packages that will seek to make their customers enjoy exemplary services, increase their annual savings and enjoy a wide array of benefits on their accounts.
An official from the Gaming Board of Tanzania, Ms. Chiku Saleh said the draw was a success and the winners deserved what they got.
“I am satisfied, the draw went on well,” she said.
The deposit campaign dubbed ‘Grow your Deposit and Win’ sought to encourage customers to save and increase the return on their investment.
It started on 29th October this year and is expected to end in February 2013 whereby the overall winner will get a gift worth Tshs 10 million or visiting China or Dubai.
Ends 

Monday, December 10, 2012

Wahitimu Mzumbe watakiwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi




Mkuu  wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mstafu Barnabas Samatta akiongoza maandamano ya chuo kuashiria kufungua maahafali ya 11 ya Chuo hicho akiwana Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Profesa Joseph Kulizwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Profesa Daniel Mkude.
Mzumbe University Chancellor, Rt. Judge Barnabas Samatta (center) during the varsity’s 11 graduation ceremony in Morogoro this Friday.  Others in the picture are the varsity’s Vice Chancellor, Prof. Joseph Kuzilwa (left) and the Chairman of Mzumbe University Council, Prof. Daniel Mkude.  



Mkuu  wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mstafu Barnabas Samatta akimtunuku shahada ya uzamivu (PhD),Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji, Diodorus Kamala katika Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro Ijumaa.
Mzumbe University Chancellor, Rt. Judge Barnabas Samatta conferring a Doctorate Degree (Phd) to the Tanzania Ambassador to Belgium, Amb. Diodorus Kamala during a 11 graduation ceremony held at the varsity’s main campus in Morogoro this Friday.


Na Mwandishi wetu, Morogoro
Chuo kikuu Mzumbe kimewaasa wahitimu wake kuitumia vizuri taaluma waliyoipata chuoni hapo kusaidia kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa na jamii zao.
Ushauri huo umetolewa wakati wa sherehe za mahafali ya 11 ya chuo hicho mjini Morogoro mwishoni mwa wiki ambapo wahitimu mbalimbali walitunukiwa astashahada, stashahada,shahada ya kwanza, shahada ya uzamili na uzamivu na Mkuu wa Chuo hicho, Jaji Mstafu, Barnabas Samatta.
Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Joseph Kuzilwa alisema wahitimu hao hawanabudi kuzitumia taaluma zao na kuwa kioo cha shughuli za maendeleo sehemu za kazi na katika jamii.
“Tunawataka mkayatumie maarifa mliyoyapata hapa kupitia masomo yenu mliyofuzu kwa kuajiriwa, na kujiajiri kwa lengo la kulisaidia taifa kimaendeleo,” alisema.
Aliwasifu wahitimu hao kwa kufanya vizuri katika masomo yao na hivyo kustahili kutunukiwa vyeti hivyo na kuongeza kusema wanawake wamefanya vizuri zaidi.
Hata hivyo, alieleza kuwa chuo kinakabiliwa na uchakavu na upungufu wa miundombinu ya madarasa,hostel za wanafunzi,ofisi za wahadhiri na hivyo kusababisha kuendesha shughulizake katika mazingira magumu.
Aliomba serikali na wadau mbalimbali kuzidi kuongeza misaada kwa chuo kwa lengo la kutimiza mahitaji hayo ili kukidhi ongezeko la udahili wa wanafunzi na kuongeza programu za masomo.
Chuo kimeendelea kuajiri wanataaluma wapya na kupelekea kuwa na wahadhiri 150 mwaka 2002 hadi kufikia 304 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Profesa Daniel Mkude alisema chuo hicho kimeendelea kutoa elimu za taaluma mbalimbali ikiwemo ya elimu ili kupunguza tatizo la uhaba wa walimu shule za sekondari na vyuo vya ualimu nchini.
Aliwataka wahitimu hao kuthamini maisha yao kwa kujihadhari na janga la ukimwi na madawa ya kulevya ili taifa lisipoteze nguvu kazi.
Aliongeza kusema kuwa wahitimu hao wanatakiwa kuwa mabalozi wa kukomesha vitendo viovu kama wizi, unyang’anyi,mauaji ya vikongwe,maalbino,ubakaji, ukahaba, kukomesha rushwa na mimba za utotoni.
Naye Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Bw. Diodorus Kamala ambaye alitunukiwa shahada ya uzamivu na chuo hicho aliwaasa vijana kuwa elimu ndiyo njia pekee ya kufikia malengo yao kimaisha na kulisaidia taifa kimaendeleo.
Alisema yeye pamoja na majukumu aliyonayo kitaifa na ya kwake binafsi ameweza kupanga muda na kuendelea na masomo na kufuzu.
Chuo Kikuu Mzumbe kina kampasi tatu ikiwemo Kampasi Kuu ya Morogoro, Dares Salaam na Mbeya. Pia ina vituo katika mikoa ya Mwanza na Tanga.
Katika mahafali ya mwaka huu, Kampasi Kuu ya Mzumbe Morogoro ilitoa wahitimu 716, Kampasi ya Mbeya 314 na Kampasi ya Dar es Salaam itakua na wahitimu 1,019.
Kati ya wahitimu hao, wahitimu 291 wlitunukiwa vyeti, 94 diploma, 1,143 shahada ya kwanza, 1515 shahada ya uzamili na wawili shahada ya uzamivu.
Balozi Kamala alikua ni miongoni mwa waliotunukiwa shahada ya uzamivu baada ya kufanya utafiti wa masuala ya ushirikiano wa biashara Afrika Mashariki.
Wihitimu wanaume walikuwa 1,170 na wanawake 1,279.
Mwisho. 

Thursday, December 6, 2012

Ole Naiko atunukiwa tuzo, atoa changamoto kuundwa kada ya kati





Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Mduara wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania (CEO Roundtable of Tanzania) umepewa changamoto kusaidia serikali kujenga kada ya watu wa kati hapa nchini.
Wito huo umetolewa na mtaalamu anayetambulika kimataifa wa masuala ya uwekezaji, Bw. Emmanuel Ole Naiko wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja huo kumtunukia tuzo ya utumishi uliotukuka serikalini mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Bw. Naiko anakuwa mtu wa kwanza kutunukiwa tuzo hiyo toka umoja wa maafisa hao.
“Nawaomba mfanye kila linalowezekana kusaidia serikali kujenga kada ya watu wa kati hapa Tanzania,” alisema Bw. Naiko mbele ya maafisa hao na wageni wengine waalikwa.
Mshindi wa tuzo hiyo alimuomba Mwenyekiti wa mduara huo wa Maafisa Watendaji Wakuu, Bw. Ali Mufuruki kutumia uwezo wake na uzoefu alionao katika biashara kusaidia katika kujenga kada ya watu wa kati kiuchumi.
Bw. Naiko alisema kujenga kada hiyo ni lengo la serikali na kwamba hakuna budi kulitekeleza wazo hilo kwa manufaa ya Tanzania kwa ujumla.
Alisema akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) anakumbuka rais Jakaya Kikwete mara tu baada ya kuingia madarakani aliipatia TIC kazi ya kuongoza juhudi za kujenga kada hiyo.
“Lengo letu kipindi hicho lilikua kuwaingiza watanzania wenye uwezo mdogo kiuchumi kwenye mfumo wa uchumi rasmi kwa sababu tumerithi taasisi na mifumo inayowaweka wengi nje ya mfumo wa mafanikio,” alisema.
Alisema juhudi hizo zingewezesha watanzania wengi kushiriki kikamilifu katika mfumo wa kitaifa na kimataifa wa kibiashara na hivyo kuwainua.
“Tulichukua changamoto hiyo ya rais na kwa kuanza tuliunda kundi la wajasiriamali 80…bahati mbaya juhudi hizi zilitekwa na mtu mmoja katika moja ya wizara na tukapoteza kabisa mwelekeo,” alisema.
Bw. Naiko alitoa shukrani zake kwa kuteuliwa kupata tuzo hiyo.
 
“Nashukuru sana kwa mapenzi mliyoonyesha kwangu,” alisema.
 
Mtumishi huyo mstaafu alisema si sawa kuwalaumu viongozi waliopita kwa madai kwamba waliiingiza nchi katika mikataba mibovu hasa katika sekta za madini na mafuta.
 
Akielezea zaidi kuhusu hilo alisema watu hao wanasahau kwamba kabla ya mwaka 1998, Tanzania haikuwa hata na mgodi mmoja binafsi uliokuwa unazalisha dhahabu.
 
“Ni baada ya kipindi hicho tu ambapo Tanzania iliweza kuwa mmoja wa wazalishaji wakubwa wa dhahabu Afrika,” alisema.
 
Kwa upande wa mafuta alisema tafiti nyingi zilizofanywa na kampuni za utafiti wa mafuta sasa zinaiweka Tanzania kuwa moja ya wazalishaji wakubwa wa gesi.
 
“Baadhi ya inayoitwa mikataba mibovu ilisainiwa na watu wenye heshima kubwa sana katika nchi yetu na watu hawa wasingeweza kusaini ‘mikataba mibovu’,” alisema.
 
Alisema viongozi hao walifanya hivyo kutokana na mazingira yaliyokuwepo kipindi hicho na walitakiwa kuchagua kati ya kuacha raslimali hizo ardhini au kuzivuna ili nchi ifaidike.
 
“Kulaumu watu hawa kwa madai ya kuingia mikataba mibovu ni sawa na kucheka wazazi na mababu zetu waliotulea na kutukuza katika nyumba za matope,” alisema.
 
Alisema njia Tanzania iliyopitia ni njia inayopitiwa na nchi zote zinazovutia wawekezaji.  Alitoa mfano wa nchi kama Mauritius ambayo leo inatolewa mfano wa mafanikio Afrika kwamba ilipitia njia kama inayopitia nchi hii lakini hakuna mtu anaelaumu viongozi wa nchi hiyo.
 
“Walianza kwa kutegemea miwa kama msingi wa uchumi lakini leo wanategemea teknolojia ya habari na mawasiliano,” alisema.
 
Kwa upande wake, Bw. Mufuruki alisema uamuzi wa kumtunukia Bw. Ole Naiko ulifikiwa na kamati ya uteuzi baada ya kuangalia rekodi yake katika kuendeleza sekta binafsi kwa muda mrefu alipokua mtumishi wa umma.
 
“Tunamshukuru sana hasa kwa vile alisaidia  kwa sera nyingi za kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kupitishwa na serikali,” alisema.
Mwisho.




Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ranchi ya Taifa (NARCO), Dkt. John Mbogoma (katikati) akizungumza jambo na baadhi ya wawekezaji wakati wa ziara ya wawekezaji katika ranchi Ruvu  iliyopo Mkoani Pwani ambayo pia ipo katika eneo la mpango maalum wa uendelezaji kilimo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania (SAGCOT) hivi karibuni.
The General Manager of National Ranching Company (NARCO) Limited, Dr. John Mbogoma (centre) talks to some of prospective investors who visited the ranch located at Ruvu area in Coast Region to learn about its potentials.  The ranch is found at the area under the Southern Agriculture Corridor of Tanzania (SAGCOT). 

Wednesday, December 5, 2012

NARCO interests investors

By a Correspondent, Coast Region
Several investors from inside and outside Tanzania have shown interest into invest in the National Ranching Company (NARCO) Limited in Ruvu, Coast region.
This was after a team of about 70 investors visited the ranch recently as a culmination of the first ever Agribusiness Investment Showcase Event organized by Tanzania Investment Centre (TIC) in collaboration with the Prime Minister’s Office and the Southern Agriculture Corridor of Tanzania (SAGCOT) Centre. 
The TIC Investment Research Officer who accompanied the team to NARCO, Mr. Martin Masalu said the majority of investors showed interests into the ranch which have the potential to hugely contribute to the national economy.
“We have brought them here to see the potential of this ranch,” he said.
He said a kind of investment preferred by the government at the ranch is the partnership one between the public and private sector.
The ranch is under the SAGCOT programme.
He said it is intended that livestock keepers surrounding the ranch will also benefit once large scale farming starts at the ranch in terms of technology and markets.
Investors were taken around various sections of the ranch and a need for investors at the ranch was apparent if the ranch really needs to satisfy the market out there.  
The General Manager of NARCO, Dr. John Mbogoma said that the ranch has a total of 2,500 cows but it has the capacity to take 17,500.
“There are a lot of potentials here,” he said, adding that people from private sectors are allowed to start hide factories in the ranch and own them 100 per cent.
The Coast Region Administrative Secretary, Ms. Beather Swai encouraged investors to go and invest at the ranch.
“You will not regret coming here, there are a lot of potentials,” she said.
The two day event attracted 70 foreign prospective investors and over 40 local companies.  Participants from outside the country came from Asia, Europe and Far East.
SAGCOT is a public-private partnership that hopes to catalyze responsible private sector investment that will bring major benefits to domestic food supply, engage with smallholder farmers and local communities, and strive to do so in an environmental sustainable way.
 
Ends