Bank of Africa Tanzania head of Human Resources and
Administration, Ms Mercy Msuya (third right) shakes hand with the Comprehensive
Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) Deputy Chief Executive
Officer, Ms. Haika Mawalla when the bank donated USD 10,000 to support the
hospital’s efforts in improving children’s healthcare in the country yesterday
in Dar es Salaam. Others in the picture
are the bank’s officials Mr. Solomon Haule and Ms. Berly Oluga (first and
second on the left) and Mr. Kaisha Boge (in black suit) and Mr. Henry Baghayo
the right.
Mkuu wa Kitengo cha Raslimali Watu na Utawala cha Benki ya
Afrika Tanzania, Bi. Mercy Msuya (wa tatu kulia) akishikana mkono na Afisa
Mtendaji Mkuu Msaidizi wa CCBRT, Bi. Haika Mawalla wakati benki hiyo ilipotoa
mchango wa dola za kimarekani 10,000 kusaidia juhudi za hospitali hiyo kusaidia
watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali jana jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni maafisa wa benki
hiyo, Bw. Solomon Haule na Bi. Berly Oluga (wa kwanza na wa pili kulia) na Bw.
Kaisha Boge (mwenye suti nyeusi) na Bw. Henry Baghayo mwisho kulia.
No comments:
Post a Comment