Waziri
Mkuu Mizengo
Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar
esSalaam Salaam mara mara ya kuongoza mkutano maalum wa Mpango wa kukuza kilimo
kusini mwa Tanzania (SAGCOT), akizungumzia umuhimu wa uwekezaji katika sekta ya
kilimo, kulia ni Waziri wan chi Ofisi ya waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji,
Dkt. Mary Nagu na Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Bw. Christopher Chiza.
PRIME
Minister Mizengo Pinda, stresses a point to journalists shortly after chairing
the SAGCOT Investor ShowCase meeting which emphasized the need of
increasing more agricultural investments in Southern Agricultural Growth
Corridor of Tanzania (SAGCOT),looking on (Right) is the Minister in Prime
minister’s Office (Investment and Facilitation),Dr Mary Nagu and left is the
Minister for Agriculture, Mr Christopher Chiza.
No comments:
Post a Comment