The Head of Retail
Banking with Bank of Africa Tanzania, Ms Mwanahiba
Mzee clarifies points to journalists during the press conference shortly after
the launch of Airtel Money and Aggregator
Financing services in Dar es Salaam. Looking on left is Mr Shyamkumar
Balakrishnan of Connexions and right is the
Bank’s Head of IT, Mr Willington Munyaga. The function was held at Airtel Head
offices.
Mkuu wa shughuli
za rejareja za kibenki wa Benki ya Africa Tanzania, Bi. Mwanahiba Mzee
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya
clarifies Airtel Money and Aggregator Financing ambayo itakuwa ikitolewa na
benki hiyo katika iliyofanyika Jijijni Dar es Salaam jana. Wengine kushotoni
Bw.Shyamkumar Balakrishnan wa Connexions na kulia ni Mkuu wa Mifumo wa
Mawasiliano wa Benki, Bw. Willington Munyaga.
The Head of Retail
Banking with Bank of Africa Tanzania, Ms Mwanahiba Mzee (right) exchanges
documents with Airtel Money Manager, Mr John Ndunguru (second left) signify the
bank’s launch of Airtel Money service in a function held in Dar es Salaam
yesterday. Others looking on left is Mr Shyamkumar Balakrishnan of Connexions
and second right is the Bank’s Head of IT, Mr Willington Munyaga.
Mkuu wa shughuli za rejareja za kibenki wa Benki ya Africa Tanzania
Mwanahiba Mzee (kulia) akibadilishana nyaraka na Meneja wa Airtel Money, Bw.
John Ndunguru (wa pili kushoto) kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma ya Airtel
Money kwa benki. Wanaoshuhudia (kushoto) ni Shyamkumar Balakrishnan wa
Connexions na wapili kulia ni Mkuu wa Mifumo wa Mawasiliano wa Benki
Willington Munyaga.
No comments:
Post a Comment